Ukumbi wa hoteli ya boma hapa jijini Nairobi ulikuwa wenye shughuli nyingi kuanzia asubuhi huku wakenya wengi wakifika hapo kujaribu bahati zao kusajiliwa kwa zoezi la mchujo wa kuwateua...
Audrey Mbugua leo alipata fursa ya kuwasilisha kilio chake na cha wenzake mbele ya bodi ya wahudumu kuhusiana na suala tata la kubadili jinsia. Audrey aligon...
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya.
Wakaazi wa Naivasha estate walipata sikukuu ya mapema baada ya kuwaua nyati wawili waliokuwa wametoka kwenye mbuga ya Longonot. Ilikuwa ni vuta ni kuvute mio...
k24tv
- Length: 1:36
- Views: 111
-
Tags:
-
Afisi ya naibu rais William Ruto imetuma barua ya kutaka shirika moja la habari humu nchini kuomba msamaha kuhusiana na taarifa za gharama ya kukodishiwa nde...
Akina mama wa mtaa wa Kawangware walibahatika kwa kupokea mchango wa jiko linalotumia makaa kidogo na kuhifadhi moto kwa kiwango cha asilimia hamsini. Ni taa...
Katika taarifa kutoka mahakamani, jarida la Nairobi law monthly lashindwa kuishurutisha shirika la uzalishaji kawi nchini -- KenGen kulikabidhi taarifa kuhus...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH -- OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKE...
Katika taarifa kutoka mahakamani, jarida la Nairobi law monthly lashindwa kuishurutisha shirika la uzalishaji kawi nchini -- KenGen kulikabidhi taarifa kuhus...
k24tv
- Length: 2:11
- Views: 217
-
Tags:
-
ukosefu wa miundombinu muafaka kama vile barabara, nia ya reli pamoja na umeme vimeelezewa kuwa miongoni mwa vikwazo sugu dhidi ya uwekazaji hapa Uganda. hii...
bila shaka hizi ni habari za kukufurahisha wewe mtazamaji mpendwa wa runinga hii ya WBS. kama ilivyo ada, tumeweza kufanikiwa kushinda tuzo mbali mbali kupit...
Mabalozi wa Kenya katika nchi za kigeni bado wanaendelea na kazi katika vituo vyao hadi watakapojulishwa kuhusu hatma yao. Baadhi ya mabalozi tulioongea nao ...
wamiliki wa makampuni ya habari wameafikiana kuwa pana haja kuwa na miongozo thabiti dhidi ya matini ambayo huleta istihizahi na kukiuka maadili na hivyo kui...
Msanii mkongwe aliyekuwa amepotea kwenye chart nchini, Nice Lucas Mkenda ameendelea kutengeneza vichwa vya habari nchini Kenya baada ya jana kuhojiwa kwenye ...
Watu 9 waliuwawa hapo Alhamisi ndani ya hoteli moja mjini Garissa na wengine kujeruhiwa vibaya. Shambulizi hilo lilitokea wakati kundi la watu walipokuwa wak...
mutwiba
- Length: 13:35
- Views: 172
-
Tags:
-
Watu 10 walipoteza maisha wengine wanane kupata majereha mabaya baada ya ajali ya barabarani kufanyika katika eneo la Makuyu, katika barabara ya Thika-Nyeri....
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya V...
Wakaazi wa kule Busoga wanakereka kuhusu visa vya wizi wa lori ambavyo vimeshamiri katika wilaya za kamuli na iganga. Mengi ya magari hayo hudokolewa vipuri ...
kufuatia ufumbuzi wa hivi karibuni wa kampuni maarufu ya teknolojia ya habari na mawasiliano Google, sasa itakuwa rahisi kwa mteja wako kukufikia popote pale...
Habari ambazo tumepokea sasa hivi ni kwamba msafara wa mkuu wamajeshi umehusika katika ajali ambapo wawili kati ya walinzi wake amefariki dunia. Wengine wame...
Ben Komba/Pwani-Tanzania/23-Mar-13/08:51:18 AM Wakazi na wakulima wa vitongoji vya Kisabi na Kiwalani katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha wameazimia kuifi...
Mamlaka ya mapato URA imeufunga uwanja wa Nachivubo kutokana usimamizi wake kutolipa deni la kodi la shilingi milioni 350. Kulingana na URA pesa hizo ni pamo...
Naam.tunafungua taarifa za ktn leo kwa marufuku ya polisi dhidi ya mikusanyiko ya siasa wakati huu mahakama ya juu ikiendelea na kesi ya kupinga ushindi wa r...
Wandishi wa habari waliocharazwa na kunyanyashwa na walinzi wa gereza la Kalisizo walipokuwa kazini, wanataka kupewa fidhia pamoja na maafisa waliohusika kat...
Ukosefu wa pesa na habari za kutosha, gharama ghali ya huduma za kitalii na fikra za jadi kwamba kutalii ni jambo la wazungu, vimetajwa kuwa vizingiti vinavy...
Kufuatia ripoti kwamba mamlaka ya jiji la kampala KCCA inatoza asilimia 10 kama ushuru kwa shule zote za uma, hofu imezuka katika shule hii huku walimu na wa...
Hakuna kocha anayefahamu soka kuniliko mimi nchini Misri na klabu ya Annpi ya Misri itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Gor Mahia.ndio cheche za maneno za koc...
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la kampala Jennifer Musisi amefafanua kuwa hatua yao ya kurembesha mji ni kuona kwamba unavutia wakaazi na wageni ...
Huku pakiwa na hofu kuhusu kuongezeka kwa kipindi cha uchaguzi nchini Kenya, kampuni ya vivo energy ambayo sasa itaendesha biashara za ile ya shell imeanza k...
Taarifa ya Direkta kwa Vyombo vya Habari: (Machi-Aprili-Mei) 2013.